Tuesday 3 December 2013

KARIBUNI TUJIFUNZE JINSI YA KUPIKA UGALI NGUVU

Ugali ni chakula cha asili ya Tanzania ambacho kinatokana unga wa mahindi. Pia chakula hiki kimebeba asilimia kubwa ya WANGA. Pia vyakula vyenye jamii ya wanga huleta faida nzuri mwilini kama vile;
kuupa mwili nguvu, kujenga mwili(shape of the body) n.k

                                          JINSI YA KUPIKA UGALI NGUVU

                Mahitaji
-Unga wa sembe(mahindi)
-Unga wa dona(sembe)
-Maji

                  Hatua za kupika
-Chukua unga wa sembe na unga wa dona changanya pamoja
-Weka sufuria jikoni pamoja na maji
-Chemsha maji kwa muda wa dakika 5 au mpaka maji yapate moto
-Korogea unga wako ambao ni  mchanganyiko wa sembe na dona
-Acha kwa muda kidogo ili uji uchemke 
-Baada ya uji kuchemka,anzaa kusonga ugali sasa
-Baada ya kuona umeshikamana vizuri basi ugali wetu utakuwa umeiva kabisa 
-Kama utapenda kuufanyia garnish(kukipamba chakula chako na kwenda mezani)
Hapo chakula kitakuwa tayari kwa kuliwa, pia ni vizuri ikaendana na kitoweo safi kama nyama choma(grilled beef),n.k
AHSANTENI SANA WADAU WA BLOG YANGU

     


       
   
        -

4 comments:

  1. asante tumeona kaka mwanzo mzuri,sasajitaidi kuuongezea thamani iliuweze kuingia kwenye orodha ya vyakula bila duniani,may be unaweza ukaosonga halafu uka chopchop onion,green paper,redpepper ukazilost kwenye oven halafu ukazichanganya bada ya ugali kuiva bada ya hapo una gret parmesan cheese unachanganya pia hapo ugali utakuwa umejiganinish naumeuonge zea virutubisho vyakutosha.unaulool kwenye grease paper unauweka kwenye fridge unapohitaji unatoa unakata round size yako una grill kidogo unakula

    ReplyDelete
  2. Asante kwa somo lako zuri maana shemeji yako ni muhaya ....atakuwa amepata kitu hapo...

    ReplyDelete
  3. Ahsante kaka Robart kwa ushauri wako tupo pamoja sana

    ReplyDelete
  4. sawa bhana kaka john b, tupo pamoja msalimie shemu wangu

    ReplyDelete