Monday 30 December 2013

JE UNAJUA VYAKULA GANI WANAOKULA WAFUGA RASTA(DO YOU KNOW THE KIND OF FOODS WHO ARE EATING VEGETARIAN)

                                WAFUGA RASTA(VEGETARIAN PEOPLE)
Hawa ni watu ambao wasio kula nyama ya aina yeyote, kutoka na imani walizonazo kwa mfano, imani za kidini kwa wenzetu wahindi huwa hawali nyama ya ng'ombe wakiamini ndie muumba wao, pia wat hawa huwa hawapendi wakimuona myama anachinjwa au kuona damu ya mnyama.

                                       AINA ZA WAFUGA RASTA
   Hawa wafuga rasta wamegawanyika katika makundi mawili(2) ambayo ni
        -Kuna wafuga rasta wasio kula nyama kabisa
        -Kuna wafuga rasta wasio kula nyama na hata kile kinachodhalishwa na mnyama .

                         WAFUGA RASTA WASIO KULA NYAMA
Hili ni kundi la wafuga rasta wasio kula nyama kabisa, hivyo kundi hili huwa wanakula vyakula vinavyodhalishwa na mnyama kwa mfano, maziwa, mayai n.k 

       AINA ZA VYAKULA WANAVYOKULA WAFUGA RASTA WASIO KULA NYAMA
Vifuatavyo ni baadhi ya vyakula wanavyokula wafuga rasta wasiokula nyama tu, ambayo ni
        -Maziwa(milk)
        -Mayai(eggs)
        -Mbogamboga za majani(vegetables)
        -Tambi(pasta)
        -Wali(rice)
Hivyo ni baadhi ya vyakula wanavyokula kundi hili la wafuga rasta wasio kula nyama.

WAFUGA RASTA WASIO KULA NYAMA HATA KINACHODHALISHWA NA MNYAMA
Hili ni kundi la wafuga rasta ambalo hawali nyama wala anachaodhalisha mnyama kwa mfano nyama, mayai, maziwa n.k hivyo vyakula jamii ka hii huwa hawali kabisa.

AINA ZA VYAKULA WANAVYOKULA WAFUGA RASTA WASIOKULA NYAMA HATA KINACHODHALISHWA NA MNYAMA
Vifuatavyo ni baadhi ya vyakula wanavyokula aina hii ya wafuga rasta ambavyo ni
      -Mbogamboga za majani(vegetable)
      -Wali(rice)
      -Tambi(pasta)
      -Maharage(beans)
      -Ugali
Hivi ni baadhi ya vyakula wanavyokula wafuga rasta wasio kula nyama hata kile kinachodhalishwa na mnyama.....!!
  MWISHOOOOO
Kama kuna swali ruksa uliza..........!!!!!!!!!!!!
AHSANTENI SANA WADAU WANGU.............!!!!!!!!
NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA MWAKA MPYA...............!!!!!!!!!!!!
 BY IRON CHEF JACKSON


  



4 comments:

  1. Wapo watu wengi sana zaidi ya wafuga rasta ambao hawali nyama kabisaaa, wengi sabab ya dini au imani na wengine sababu ya afya.

    ReplyDelete
  2. nashukuru kwa maoni yako waldrep

    ReplyDelete
  3. knowledge is power....AKILI NI NYWELE KILA MTU ANAZO cogrants chezjackson.blogs

    ReplyDelete
  4. Marastafari wana muamini mungu yupi na wana tumia vitabu gana vya dini

    ReplyDelete